mara nyingi huwa warembo wanatumika sana kwenye shughuli za kijasusi na huwa wana mafanikio makubwa sana, nafikiri hata DELILA alikuwa jasusi
"Delila akanung'unika akisema hunipendii, kama ungenipenda usingenificha siri zakoo. Samson kwa kuzidiwa akatoa siri. Tangu nizaliwe wembe haujapita kihwani mwangu......"
--
Delila alikuwa kachero wa hatari sana.