Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera kama ulipiga Banda la Geography, hili somo huonekana ni rahisi but huja na matokeo ya kushangaza sana.

Nimeomba external examiners kutoka Jamii Forum waje kusahisha hili swali, bahati nzuri wameridhia ila wanataka watahiniwa wawe wengi wakianza kusahisha wamelize yote kwa pamoja 😂
 
lol Brian Spilner dizain yuko kimya sana humu....
Hellow Brian.[emoji1672]

Utawasimulia kina Valentina na cocastic
Wee shoz hebu weka hiyo uliyofuta bhana, akuuuuh naanza kulia sasa hivi, na nkianza kulia huwa simalizi mapema, niko emotional sana mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…