Nimekumbuka miaka ya 2009 niliotewa Ohio na wale ma mwela wa mitaa ya ubalozi.. jamaa hajanikuta nanyandua wala nini nilikuwa nazingua, kanipiga mkubeto.. nikaanza kumlia timing na hesababu za kumuacha.. ile tunaelekea mirambo Street nilimtega na mguu ile kucheza nika msukuma.. ndukiii aliona manyoya tu na kunitishia na smg yake..