Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
ππππ mkuu ma story tu humu.. ila ukinikuta live nipo kama broiler...Afadhari umerudi kwenye your area of influence, sio kule kwenye kuibiwa. Baki humuhumu kijana
Angalia vizuriHuyo mlimbwende atakuwa alimake sana hela kupitia kazi zake za Sanaa, kumiliki gari Kali hivyo with her name on plate number si mchezo [emoji119]
halafu vyote hv awenavyo binti mmoja,na kitandani awe fundi sio?ππππ haya acha nitulie ila nimetaja magonjwa yanguu.. nikiona pini kwenye ulimi, puani, kitovuni, na sikioni... tatoo kwenye mguuu na kiunoni kidogo kwisha kabisaa.. na kikuuu cha gold flani hivi na ka pete kwenye kidole mimiii kufa kabisaaa
Pole sana
[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu ma story tu humu.. ila ukinikuta live nipo kama broiler...
nimekuwa humu zee la fix sana humu jamvini... itabidi nibadili uhusika sasa
ππππ eeeh mkuu... na kitandani kama messi + cr7 + gauchohalafu vyote hv awenavyo binti mmoja,na kitandani awe fundi sio?
Hapohalafu vyote hv awenavyo binti mmoja,na kitandani awe fundi sio?
hahahahaHapo
Dunia yote
Ni yako[emoji1787][emoji1787]
kudadeki.ππππ eeeh mkuu... na kitandani kama messi + cr7 + gaucho
kufa hakuna brekikudadeki.
potelea mbalikufa hakuna breki
mamaaa pastaaa Heaven Sent yupo macho kabisaaaMrembo aliye macho atupie ka picha kdg
Kumbe hiyo gari atakuwa aliomba kupiga nayo picha tuπAngalia vizuri
Kuna plate # nyingine
Juu ya hilo jina[emoji1787][emoji1787]
Halafu huyo nalisikia
Wakisema
Naniliu ina niniliu[emoji848]
MjiniKumbe hiyo gari atakuwa aliomba kupiga nayo picha tu[emoji119]
mwambie afanye kitumamaaa pastaaa Heaven Sent yupo macho kabisaaa
nipo msituni leo naona twiga wamenona kweli, ila sheria inatubana kuua twiga eeh aumwambie afanye kitu
$75,000[emoji1787]nipo msituni leo naona twiga wamenona kweli, ila sheria inatubana kuua twiga eeh au
msitu upi nipite hapo? Twiga unaua km una 'kibali maalum'nipo msituni leo naona twiga wamenona kweli, ila sheria inatubana kuua twiga eeh au