Selfika na JF: Snap it. Show it

Unanikosha sana ulivo mzungu yani [emoji3577][emoji3577][emoji3577] [emoji2956] Gregory 2000 shem tatizo ukipotea unapotea mazima kama msukuma Shimba Ya Buyenze .
Stay tuned murembo wa kimataifa anashusha vitu soon
Leo sichezi mbali. Kila notifikesheni lazima niangalie. We kwani umeshaselfika leo Boss Lady?
 
Taratibu mzee

Shemeji yako huyo

[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ haya acha nitulie ila nimetaja magonjwa yanguu.. nikiona pini kwenye ulimi, puani, kitovuni, na sikioni... tatoo kwenye mguuu na kiunoni kidogo kwisha kabisaa.. na kikuuu cha gold flani hivi na ka pete kwenye kidole mimiii kufa kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…