Kumbe special forces wako deep sana kwenye hilo eneoπ
Miaka Fulani jirani na Kambi Fulani ya Jeshi walikuwa wanafichiwa vitu then wanaambiwa waje watafute Kwa kusoma kwenye ramani.
Ilikuwa tunawaonea huruma then kisiri Siri ukiwaonesha wanakupa hela kama zawadi manake unakuta wamekaa tangu asubuhi wanatafuta bila mafanikio