Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ataona hapaaUkimuona mwambie namsalimia sana!
Ataona hapaaUkimuona mwambie namsalimia sana!
Acha woga Pita kwao uonane nae na kumpa Salamu zangu!Ataona hapaa
🤩🤩🤩🤩🤩Bought my self a new toy, #benyarView attachment 2129419
Akhsante
Maisha mazuri ukiwa ndani ya YESU mpendwa
Mbinu za kidiplomasiaNalishughulikia kwanza Shem soon will give you feedback! Dogo mtata sio kidogo ujue namuingiakwa mbinu za kidiplomasia!!



fanya kama putin bwana,, vamia kambi

Kabisa shemMbinu za kidiplomasiafanya kama putin bwana,, vamia kambi
![]()
Trés Bien, Wasalimie Salasala.Huku #french ....
Huku #chinese....
Dogo ananiacha mbali 🥴🥴View attachment 2127526View attachment 2127527
Ili babe wake anikimbizeAcha woga Pita kwao uonane nae na kumpa Salamu zangu!
Asante madam!Changamoto zipo ili zitukomaze akili bro relax everything gonna be alright !!
Aisee kumbe ni Tazara!!Ndio Nilitaka kukuuliza hapa leo hujapita tazara kumsalimia?? Valentina
Ili babe wake anikimbize
Aisee kumbe ni Tazara!!
Labda unifundishe dear ex
Taa nyekunduNiko nusu
Wanikate miguuMwoga huyo hawezi kuja
aache woga bana!Mwoga huyo hawezi kuja
OhoooLisaa limoja toka waanze Tayari Airbase na Navy za Ukrane kwishney。hawawezi kukuruka. Inaweza kuwa Vita fupi sana .
Sasa kama huna nguvu si unakaa kimya Tena unamrambaramba adui miguu.Ukraine hapigani vita na Russia, alichofanya Russia ni ubabe na ushari.. Ukraina hana uwezo wa kupigana na Russia