Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukraine hapigani vita na Russia, alichofanya Russia ni ubabe na ushari.. Ukraina hana uwezo wa kupigana na Russia
True, lakini Ukraine ni koloni la Russia, mrusi ana interest za kutosha kwa Ukraine na Ukraine anamtegemea mrusi kwa zaidi ya 50% ya resources, hivyo sio rahisi kumuamchia awe na uhuru kwa nchi za magharibi...ni sawa na Tanganyika na Zanzibar tu..
 
Na hili ndio Russian wanahofia hasa baada ya Ukraine kutaka kwa udi na uvumba awe NATO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…