Tutakukutanisha na mtaalam wetu wa IT ahakikishe hizo picha + links ni legit.ππZile sio zangu nadownload Google Photos[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Lovely lady
Itakuwa wamekatengua kiunoHivi hajaonekana? Isijekuwa washamvunja miguu huko
[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]Napitwa na vitu vizuri tu yani!!
Binamu fanya kuselfiks basi[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]
Mungu akatunze huko kalipoItakuwa wamekatengua kiuno
Kama kweli kalijichanganya kupigana
Lizzy toa hiyo emoj
Mwee si nimeselfisha vidole vyangu kama tangawizi[emoji1]Selfika basi mama mchungaji
Hivi kweli eeh...!Wewe sijawahi kuona selfie yako rafiki
Ongeza ushawishi mkuu anaweza kuselfikasie pia hatujawahi kuona selfika yako
Naomba uweke basiAaaaah, basi sawa.
Amen maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu akatunze huko kalipo
Vidole uliselfika kwa special requestMwee si nimeselfisha vidole vyangu kama tangawizi[emoji1]
Naomba unisaifie kumshawishi na Khantwe aselfikeNaomba uweke basi
Na mimi nina bahati mbayaHivi kweli eeh...!
Basi unabahati mbaya, ziko nyingi sana zimekupita, tuselfike basi rafiki yangu
MweeeVidole uliselfika kwa special request
Sasa selfika ya leo leo
Mungu mkubwa jamani.Mnanisema sema eeeh... nitawanigaaa.. na kadogo kako Saint Anne ... nilikuwa nabebika na watoto.. View attachment 2128451[emoji41][emoji41][emoji41]