Hahaaaaaa. Mimi mpaka inafika saa 12 Asubuhi nilikuwa nimehold eurgbp tangu juzi. Hapo nilikuwa na loss ya Maana, ghafla saa nne naona imepinduka nkatoka fasta na small win. Naona inafanya retest