Nimemuota View attachment 1242610
[emoji23][emoji23][emoji23] naona kakwepa majukumu huyo!..Daah mkuu ila mwanzo si ulikubali??
Nimemuota View attachment 1242610
Katoka shambani, na mkungu wa ndizi [emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Dada huyooo
Naona unakazia kabisaa!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimekuja kukuona ukiji selfie[emoji23]
Sura ngumu kama ganda la limao si unajua ndio zetu hiziMwambie tu ukwel kama sura yako ni ya makumbusho[emoji125][emoji125]
Kichwa Kichafu [emoji51][emoji51]kichwa kipi ndio kichafu[emoji23][emoji23]
Sijatapika,nimeamka nimekula tizi na breakfast na ndiyo wa kwanza kuingia kazini.Utatapika
Kuna mtu aliniambia ni dawa ya kikohozi nikasema ngoja nitest japo sikuwa na kikohozi.Tamu sana na shughuli yake usipime
Ilimradi iwe ndoto njema tuNimemuota View attachment 1242610
wanaume tuna vichwa viwili mkuu na wanawake kimoja 😂😂Mkuu kwani wewe unajua binadamu ana vichwa vingapi[emoji23][emoji23][emoji23]
madhara ya jibapa hayo mkuu 😂😂😂 ulijitungua sana jana mpk umeota chombo ya fundiNimemuota View attachment 1242610
Inatest poa sana aiseee,afu usintishe we karma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aah hafai kabisa huyo[emoji23][emoji23][emoji23] naona kakwepa majukumu huyo!..
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimemuota View attachment 1242610
Ndio maana niliota ndoto mbaya usiku.cute b Njoo Huku Kuna Mganga Umekwisha Mchanganya Mapema