Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Acha tu,ananiambia tule chakula eti na mimi nikachagua tunywe tu kahawa!
Ooh sawa sawaUnafikiri niliikataa basi, nilimuomba aisogeze mbele kidogo as nilikuwa mbali na hoteli nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu,ananiambia tule chakula eti na mimi nikachagua tunywe tu kahawa!
Dunia hii
Sasa chakula cha mlimani City sijui ningekula sahani ngapi mimi ili nishibe..nikaona isiwe kesi,tunywe tu kahawa .
Hataamini venye atapigwa na kitu kizito utosini π€£π€£π€£Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee
Aisee kuna mtu atakonda siku hiyo; atapata tabu sanaaaaaa
Mkuu ukweli 100%. vijana waoe moyo wa mtu na sio umbo la mtu..Halafu unajua nini? Ukiwa bado mdogo sisi wanaume tunakuwa na hizi fantasies za ajabu ajabu. Mke wangu sijui lazima awe hivi, sijui vile. Utoto mwingi!
Tunasahau kwamba kwa kadri muda unavyokwenda mwili wa mwanamke hubadilika sana. Matokeo ya uzazi, mfumo wa maisha na umri. Hiyo pisi kali kimodo yenye kiuno kama nyigu na vititi mchongoko kifuani kama mkuki wa morani huenda huko mbele ya safari ikabadilika sana mpaka ukashangaa. Hapo ndipo kimbembe kinapoanza hasa kama sifa kuu ya mapenzi yenu yalikuwa ni ulimbwende wa mwili. Ooh mke wangu kabadilika. Ooh hana mvuto siku hizi na blah blah kibao.
Hao akina mama kwenye hiyo picha likely wako mid 40s au late 30s. Kwa kuwaangalia tu wakati wao ni wazi pengine walikuwa visu hatari hata kukidhi vigezo vyako...
Kwa sisi wazee tumeona mengi na haya yote nayaongea kutokana na experience. Msichague wake wa kuoa kwa kuangalia maumbo yao wakati wakiwa under 30. Tia akilini kuwa baada ya watoto watatu na miaka 20 huko mbele ya safari huyu mke wangu atakuwa na umbo gani? Wewe utakuwa na umbo gani? Kama ulimuoa kwa ajili eti kimbaumbau au bonge, vipi akibadilika na kuwa tofauti kabisa na ulivyompenda utafanyeje? Ndoa inakufa? Mapenzi yanakufa? Unatafuta mchepuko au unaoa mwingine?
Ukiweza kuyajua majibu ya maswali haya basi hutasumbuka na vigezo hivi bandia kama uzuri wa mwili - kwa sababu mapenzi yenu yatasimikwa katika vigezo vingine vya kudumu na muhimu zaidi kuliko tu uzuri wa mwili (japo nao ni muhimu pia)...
#Busarazawazee
Pesa itumwe kwangu tafadhali...inisaidie ku fund kibunda cha kumpeleka dadako outMlimani city hapa wanapiga mnada vitu mbalimbali.
Sasa tukiwa wawili si ni hasara mara 2πMimi wa Mwakaleli si ndiyo nitawatia hasara sasa?
Hii ya kwanza wewe hutaenda kwakweli...tusamehe tu ila hakuna namnaUnamtia moyoπ€£
Inabidi tuandae hii outing mtumishiπ
Pesa itumwe kwangu tafadhali...inisaidie ku fund kibunda cha kumpeleka dadako out
Hii ya kwanza wewe hutaenda kwakweli...tusamehe tu ila hakuna namna
Hapo ndo sasa dadako atakapokujaza makofi ya mdomoNisipoenda ya kwanza basi sitahitaji tena kwenda.
Mtaenda wenyewe zoteHapo ndo sasa dadako atakapokujaza makofi ya mdomo
Mnanitisha mimi??Hataamini venye atapigwa na kitu kizito utosini
Sijoin outing zenu
Mnanitisha mimi??
Kwamba kaka atakuwa wapi??
Si na sisi tunatoka tu
Naam. Hiki ni chakula sasa. Ukitoka hapo ni kusinzia tu yaani
manumbu ππππ.. maisha ya nyakati hizi watu hawataki mambo kama haya