Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,843
hahahaha uko vzr .Jamani ni camera tu dada [emoji1787][emoji1787]
ππππ fuko kubwaa daftari moja au mbili.. mwalimu anaingia class mkianza toa vidaftari makelele ya mifuko tu ππ
sanaaa halafu apendi showoffhahahaha uko vzr .
Aah syb unanipatiaga hapo tu yaani kila nikitaka kufuta picha nakuta comment yako unasema "nakukubali sana hufutagi picha" basi na mimi bichwa hilooo sifuti kweli ili nisikuangushe [emoji23][emoji23]Nakukubali sana afande. Hufutagi picha yaani.
Happy Valentine Day kamanda! [emoji1545]
kabisa,moja ya id nazozionaga ziko makini.hakika yuko vzr VALENTINE DAY KAITENDEA HAKIsanaaa halafu apendi showoff
Aah syb unanipatiaga hapo tu yaani kila nikitaka kufuta picha nakuta comment yako unasema "nakukubali sana hufutagi picha" basi na mimi bichwa hilooo sifuti kweli ili nisikuangushe [emoji23][emoji23]
Ila zisi taimu nafuta haki ya mama [emoji1787][emoji1787]
Happy Valentines Day [emoji120][emoji120]
sanaaa halafu apendi showoff
πππππ tulia mama pastorNasubiri picha na katoto
Hadi wewe [emoji28][emoji28] tulipotoka hapo tukahamia kwenye vifuko fulani hivi viliandikwa sport[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] fuko kubwaa daftari moja au mbili.. mwalimu anaingia class mkianza toa vidaftari makelele ya mifuko tu [emoji3][emoji3]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] tulia mama pastor
Hadi wewe [emoji28][emoji28] tulipotoka hapo tukahamia kwenye vifuko fulani hivi viliandikwa sport
Umezingua.. ilikuwa serious.. nisha closeNatulia offer yangu isije ikasitishwa
mbuga gani nikupe codehv leo mbugani wanyama watakuepo.au nao valentine day?
Mungu ni mwema...Huenda nimesoma katika mazingira magumu kuliko wotee [emoji24][emoji24].. sitaki hata kukumbukaView attachment 2119679
Umezingua.. ilikuwa serious.. nisha close
Anatujua before dunia haijakuwepo πππMungu ni mwema...
Usiseme hivyo mshukuru Mungu aliyekufikisha hapo ulipo inawezekana wapo waliokuwa na mazingira magumu zaidi yakoHuenda nimesoma katika mazingira magumu kuliko wotee [emoji24][emoji24].. sitaki hata kukumbukaView attachment 2119679
Mwisho wa siku, kila mtu alipitia ugumu wake na kwa kadri Mungu alivyo mdesign.. kuna mwingine alikuwa anasoma pale IST nae atakuwa alikuwa anapitia magumu πππUsiseme hivyo mshukuru Mungu aliyekufikisha hapo ulipo inawezekana wapo waliokuwa na mazingira magumu zaidi yako