Selfika na JF: Snap it. Show it

unaandika kitu kile kile.. tunazunguka pale pale.. biblia ina side kadhaa.. ila major side ni Mungu.. minor side ni mwadamu. ingawa kuna side za hizo
 
Nimesona theology kwa sehemu sijui kila kitu ila walimu wote hawajawai niachia utata kwenye hicho kitabu.. Upo sahihi na hao pia wapo sahihi kwa watu wao ambao walikuwa wanafundisha.. Point kubwa unaipima scripture kwa namba gani imejenga roho ya mtu mbele za Mungu.. kama haina ujengaji au picha ya Kristo kuumbika hiyo ni void
 
Correct me if i am wrong,,, so illustration of sensual relationship ni void ?
 
Writen by solomon,, it's Hebrew ofcourse all books of old testament were written kwa kihebrania kasoro some parts of daniel na other book,,, kilichoandikwa baada ya Israel kutoka uhamishon kurudi kujenga yerusalemu from Babel
Nimependa mjadala wako. Nimejifunza vitu. Tuache hii hatuwezi maliza πŸ˜€
 
Clear line of song of songs kama ni poetic explanation of the relationship between God to human Only, Human to human or human to God
Ninachotaka, roho iliyo mu inspire muandishi.. twende kwenye OG manuscripts.. baada ya hapo twende kwenye logos ya hicho ( andiko ), kabla hujaenda kwenye rhema.. kinacho tutofautisha hasa hapa ni kwenye rhema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…