Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..Hatujui ni nini lengo lake,,but all we know ni poetic illustration ya solomon, akiwa na mpenzi wake,,, sasa kutafsiri ndo kila mtu anaangukia upande wake,,, as long tafsiri yake sio dhambi ( kumsifia mkeo au kuhusisha poetic songs hizo kama majibizano kati yako na Mungu )
Vizuri kulala mapema, utaepushwa mengiNiko hapa nimeshashiba , nijiandae kulala sasa
Sijaquestion the authority of the Holy spirit, all i was tryn to say is,,, using song of songs as a poetic praise to your significant other sio dhambiHii hapa statement imejibu kitu.. ambayo ilikuwa itokee toka kule juu..
Tukianza kwemda huku kwenye manuscripts.. hatutomaliza.. Jibu ni hiyo statement ambayo nime iquote kutoka kwako
BinafsiHiyo ndo quote ya mahari nimepewa
Ila naona ime make sense kwa pisi kama hii iliyoumbwa mapema asubuhi
Hopeful mashemeji zangu watanisaidia kushusha price chini angalau na mimi nianze kula mema ya nchi.
Wanajamvi mniombee
Wewe huwa Unalala mapema???,😳Vizuri kulala mapema, utaepushwa mengi
Hapo kama unatokea Dar umepita Standa ya Moro ila mataa ya Tumbaku bado hujafika....
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Others embrace this book with great devotion but see it primarily as an allegory describing the love relationship between God and His people, not between a husband and wife. “The early Jewish rabbis taught that the book pictures God’s love for Israel. Early Christian writers took the same approach, but they replaced Israel with the Church. One writer in the third century wrote a ten-volume commentary on Song of Solomon, telling how the book describes God’s love for Christians.” (Estes)Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
Lazima unikuteSaint Anne I promise you nisipomkuta shem dada Mbinguni ntaondoka....itakua nimeingia chaka huko sio mbinguni
The best way to see this book is as a literal, powerful description of the romantic and sensual love between a man and a woman, observing both their courtship and their marriage. It does not give us a smooth chronological story, beginning with the introduction of the couple to one another and ending with their married life together. Instead, it is a collection of “snapshots” of their courting and married life, with the pictures not necessarily in order.Ndio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
Niko na my wangu blanketWee baridi lote hilo unalala pekeako ama? Acha utani ujue!!
😉My love for you will always be the same always be the same mama Pep
Yet, because God deliberately uses the marriage relationship as an illustration of the relationship that He has with His people, we find that this great song of songs illustrates the love, the intensity, and the beauty of relationship that should exist between God and the believer. This is clearly a secondary meaning, sublimated to the plain literal meaning, yet nevertheless valid and importantNdio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..
Saasawa
Naam, Mama Pep atakupa mwongozo
Anafahamu na atakua mmoja wa wanakamati waandamizi
Mahari bado dada mkuu Heaven Sent na Chakorii wanapambana kuniafanyia negotiation
Negotiations ikiisha tukaafikiana ntatoa mapema.
So far nimekua quoted vitu vifuatavyo;-
1.Ng'ombe 5 madume wenye rangi nyeupe ambao dhamani yake ni Tshs.4,500,000. Na hapa nimeambiwa lazima nitoe hela ng'ombe haitajiki.
2. Tshs.900,000 Za Mama Mkwe.
3. Duvet 2 za wazazi.
4.Vitenge kulingana na idadi ya mashangazi (nimeambiwa wapo 7, vitenge wanasema lazima viwe vya uturuki)
5. Blanket 2 za Bibi
6.Trekta moja Majembe Mawili.
7. Mkaja wa mama (Huu sikujua ni nini, nimeuliza wakanambia unafanana na nyumba, wakasisitiza unauzwa kwa dollar, ni dala alfu moja mia saba themanini)
Siaminiiiiiii🤸🤸🤸🤸!Niko na my wangu blanket
Bado unarudi pale pale nilichojibu comment yangu ya kwanza ya hii issue. ( nini kilicho nyuma ya kitabu au spirit iliyo push Solomon kuandika hicho jarida ) ukishapata history yake basi mjadala unakuwa umekwishaYet, because God deliberately uses the marriage relationship as an illustration of the relationship that He has with His people, we find that this great song of songs illustrates the love, the intensity, and the beauty of relationship that should exist between God and the believer. This is clearly a secondary meaning, sublimated to the plain literal meaning, yet nevertheless valid and important
🤣🤣🤣Saint Anne I promise you nisipomkuta shem dada Mbinguni ntaondoka....itakua nimeingia chaka huko sio mbinguni
Naona hapa tunazunguka mmbuyu 😊😊😊The best way to see this book is as a literal, powerful description of the romantic and sensual love between a man and a woman, observing both their courtship and their marriage. It does not give us a smooth chronological story, beginning with the introduction of the couple to one another and ending with their married life together. Instead, it is a collection of “snapshots” of their courting and married life, with the pictures not necessarily in order.
Amani iendelee kuwa na wewe mkuu shem, nakuelewa sana.Jimbo ni lako mheshimiwa shemeji
Hzo ni baadhi ya quotes from commentator from different centuries wakielezea song of song verse ya kwanza,, the most accepted theory ni kwamba its among 1000+ songs of Solomon ambayo ni drama yenye ina character 3 maiden,, binti wa yerusalemu na mfugaji kondoo,,,ukisoma vizuri hasa kwa KJV utaona some verses are for "him" "her" na binti wa yerusalemuNdio maana nimekuwambia upo sawa. Shule yangu niliyokula na walimu wangu walio nilisha chakula.. na mie mwenye katika makuzi yangu.. sijaona Solomon akimsia mke wake ambae ni mpenzi wake.. hata tukianza kuchambua verse to verses form ORIGINAL ya hicho kitabu.. ili tupate kitu.. maana twende tujue version ya kwanza la hiyo jarida na language ipi na kutokea hapo twende verse to verse..