Selfika na JF: Snap it. Show it

Saasawa
Swala la ndoa yako
Naam, Mama Pep atakupa mwongozo
Hivi kaka yako anajua
Anafahamu na atakua mmoja wa wanakamati waandamizi
Huyu Pep maha(r)li
Mahari bado dada mkuu Heaven Sent na Chakorii wanapambana kuniafanyia negotiation
Alitoa lini na kwa

Utaratibu upi
Negotiations ikiisha tukaafikiana ntatoa mapema.

So far nimekua quoted vitu vifuatavyo;-

1.Ng'ombe 5 madume wenye rangi nyeupe ambao dhamani yake ni Tshs.4,500,000. Na hapa nimeambiwa lazima nitoe hela ng'ombe haitajiki.
2. Tshs.900,000 Za Mama Mkwe.
3. Duvet 2 za wazazi.
4.Vitenge kulingana na idadi ya mashangazi (nimeambiwa wapo 7, vitenge wanasema lazima viwe vya uturuki)
5. Blanket 2 za Bibi
6.Trekta moja Majembe Mawili.
7. Mkaja wa mama (Huu sikujua ni nini, nimeuliza wakanambia unafanana na nyumba, wakasisitiza unauzwa kwa dollar, ni dala alfu moja mia saba themanini)
 
Sifa za kidukililo


Umezianza lini
 
Hahaha Africa na wasichana wake
 
Saint Anne I promise you nisipomkuta shem dada Mbinguni ntaondoka....itakua nimeingia chaka huko sio mbinguni
 
Kwa view yako upo sawa, hujanipa upande wa view yangu. Biblia ( ni kumsanyiko wa maneno ya Mungu, maneno ya watu, maneno ya shetani etc). Nini kilikuwa nyuma ya Solom katika uandishi wa hicho kijarida ?
First it's not my view,, ni illustration ya how the work of holy spirit is diverse,,,

Kuhusu song of songs au song of Solomon i think ndo imekufanya uulize where the bible stands nadhan quote hz zitakujibu

β€œIf a manuscript of this little book were found alone, detached from the biblical context and tradition, it undoubtedly would be viewed as secular. The book has no obvious religious content.” (Kinlaw)

No matter what one calls this book it has rightly been highly praised, even by those who have interpreted it in somewhat allegorical and speculative ways. β€œThe entire history of the world from it beginning to this very day does not outshine that day on which this book was given to Israel. All the Scriptures, indeed, are holy… but the Song of Songs is the Holy of Holies.” (Rabbi Aqiba, an early Jewish commentator on Song of Solomon, cited in Kinlaw)

Hope umeelewa
 
Kwa view yako upo sawa, hujanipa upande wa view yangu. Biblia ( ni kumsanyiko wa maneno ya Mungu, maneno ya watu, maneno ya shetani etc). Nini kilikuwa nyuma ya Solom katika uandishi wa hicho kijarida ?
Hatujui ni nini lengo lake,,but all we know ni poetic illustration ya solomon, akiwa na mpenzi wake,,, sasa kutafsiri ndo kila mtu anaangukia upande wake,,, as long tafsiri yake sio dhambi ( kumsifia mkeo au kuhusisha poetic songs hizo kama majibizano kati yako na Mungu )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…