Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Thankyuu very much, agiza fanta passion hapo, waambie bili ni yangu.Yes i do
Thankyuu very much, agiza fanta passion hapo, waambie bili ni yangu.Yes i do
Wamesema ulipie kwanzaThankyuu very much, agiza fanta passion hapo, waambie bili ni yangu.
NimeshangaaKumbe Heaven Sent Yuko vizuri kwenye mahaba pia eeh!! Naona anavyoucharaza kimahaba wimbo wa otile brown na jovial



EeenheeLove is a beautiful thing ...
Mwanamke akipenda amependa kweli .

Iko hivyo rafiki.Eeenhee![]()
Nimeshangaa
Hawa watumishi
Nilijua wao ni hushukiwa
Na Roho Mtakatifu
Kumbe hata roho mtaka vitu pia![]()
WachaaaBora usimtag tu muda mwingine mapenzi ya siri ndo mazuri zaidi .
Hahhaha ndioWachaaa
Usiniambie
Kwa hasira nalipia cret zima,Wamesema ulipie kwanza
SasaUsiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Wigelekelo
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh
Hizo ndizo hasira zenyewe sasaKwa hasira nalipia cret zima,
😀😀😀Hizo ndizo hasira zenyewe sasa
Unadhani nimebishaKwani Watumishi hawaishi mwilini? Tendo la ndoa linatendeka rohoni?
Majibu murua kabisaa..Kwani Watumishi hawaishi mwilini? Tendo la ndoa linatendeka rohoni?
Unadhani nimebisha
Ni vile nilikuwa nawachukulia
Lakini leo umenifumbua
Asante mama mtumishi
Naona story nyingiKwani picha siku hizi hmmehairisha kutuma ndugu zangu 😁