Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama ndege wa angani
Samaki wa majini
Nami Mungu kanipa pa kukaa kando yako
Nina furaha na amani mapenzi ya dhati
Unayonipa sijawahi ona.


And I need you kifo cha mende chali (eeehee)
Body to body (eeehee)
Monday to Monday
And I need you body to body (eeehee)
Monday to Monday (eeehee)
Oh baby do me like it's my birthday


I've been around the world but never seen such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
I've been around the world, but never seen such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Oh baby

#Mahabandindindi#
View attachment 2118712
Mamchungaji samahani..
Huo mstari wakwanza, aya ya pili na waumini tunaruhusiwa kuutumia au huo ni nyie tuu..??

Samahani lakini.
 
Asante Yesu Kristo, nakupenda kwasababu ulipenda kwanza na kwasababu ulimimina pendo lako moyoni mwangu..

Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate.

😭😭😭😭😭😭

Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu.

Heaven Sent
 
Screenshot_20220213_225906_com.whatsapp_edit_74208460440235.jpg
 
Wigelekelo
anasbo
_KINGO_
mrangi
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh

Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.

Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.

πŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ˜²πŸ˜²πŸ˜²πŸ˜²πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Asante Yesu Kristo, nakupenda kwasababu ulipenda kwanza na kwasababu ulimimina pendo lako moyoni mwangu..

Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate.



Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu.

Heaven Sent
Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; hulisha kundi lake penye nyinyoro.

Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, unigeukie, mpendwa wangu, nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya Betheri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom