...Nkamu jamani!
Mimi ni mtu mzima sana. Japo napenda matani lakini kwenye utoto huo nilishapita zamani mno miaka ya 70/80 huko.
Huyo bwana mdogo sijawahi hata kutaniana naye. Ndo maana nimeshangaa kidogo; na kusema kweli amenivunjia heshima sana ila nimeshamsamehe