Wala hata usijar yaan leo naweka kila kitu wazi, kna mtu ananisumbua huko kwa mzee wa Ruangwa, yaan anasema anataka kujua uhalisia wangu, maan anasikia tyuuh humu ndan jinsi nilivyo ila hajawahi kuona picha yangu, sasa mie kuanza kujieleza kwake ntachukua mda mrefu, na siwezagi kujieleza kwa mtu sana, ntampa picha aone tena wazi kabisaaa.