Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Kipilipili kizuri sana kikishakua.Mimi nilichoka kuvaa mawig halafu kipilipili nacho siwezi kusuka wala kubana. Siku hiyo nikasema leo ndo leo nanyoa natia bleach. Nimenogewa kabisa hapa nataka nikaongeze tena rangi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sijui kwanini huwa naamini bichwa langu zuri,ninyoe nisuke sawa tu..
Ila bleach kwa kweli siwezi kutia kichwani kwangu.
Duh😂Mwee nilihisi tu [emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣 jamaniUjumlishe na sura ya kinyaki ya mjomba; mbona kunyoa kunakuwa wito kidogo. Ngoja nipambane tu this time
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Mimi sijui kwanini huwa naamini bichwa langu zuri,ninyoe nisuke sawa tu..
Ila bleach kwa kweli siwezi kutia kichwani kwangu.
Nimeshajaribu kusuka. Wakati niko high school tulikua tunasuka. Nilikua nachekwa maana nikisuka Jumapili, Jumanne kipilipili kinaanza kuchanua. Nikajaga kukubali kusuka is not for me nikawa busy na mawig mpaka last month nilipopata ujasiri wa kunyoa.Kipilipili kizuri sana kikishakua.
Ukisuka kinapendeza tu,jaribu.
Bleach !?Ntakutumia picha nikishatia bleach langu (usiniige)
We dere wewe 🤣🤣🤣Nyonyo za kimasai
Tumbo flat screen
Mgongo wa kijamaica/ ke wanariadha wale..
Vidole vya kifamilia bora
Watu wanafaudu
Jaribu tena kusuka,Nimeshajaribu kusuka. Wakati niko high school tulikua tunasuka. Nilikua nachekwa maana nikisuka Jumapili, Jumanne kipilipili kinaanza kuchanua. Nikajaga kukubali kusuka is not for me nikawa busy na mawig mpaka last month nilipopata ujasiri wa kunyoa.
Uliamua kujichelewesha 🙂Mweeh mbona kamesharudi sasa[emoji23][emoji23]
Bleach !?
Siwezi
My dear ulichokiweka kimenipita 🥰Kaone kazuri 😍
Tujilipue tuuUsicheke Alayna, mambo ni hatari eti[emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaUlivyouliza sasa mama pep, hadi nimeangua cheko mbele za watu. Wewe haikufai bana mtoto mzuri
Pendeza rafiki
AiseeNina mpango wa kuweka hii ya mixing
Sema kuna staff mmoja namuogopa sanaaa, nahofia… View attachment 2114912
Nenda kwa cutting master’mlimani city akunogeshe 🥰Aisee
Hizi nywele zinawekwaje??
Namimi niige
Kila mwisho wa mwezi uwa nakukumbuka sana 🤣🤣Pendeza rafiki