Jamani nikirudi huko nitakuomba uni elekezeFanya hivyo. Kama uko Dar naweza kukuelekeza sehemu niliponyoa. Wananyoa vizuri kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujue na mimi leo nimeamka na mawazo ya kunyoa; naona kama hawa wapendwa wamenihamasisha na hili bichwa langu refu kama UDA
Wasalimie Break Point
🤩🤩🤩🤩Nywele zimekuwa
Kunyoa sitaki
Napataje shida asubuhi kuziweka official 🙂
Saint Anne View attachment 2114836
Mwee hongera😂😂😂
Karibu dearJamani nikirudi huko nitakuomba uni elekeze
Nyonyo za kimasai
Picha ya December hiyo 🤣Mwee hongera😂😂😂
Hatimaye umesuka,,umekua sasa
😂😂😂😂Ujue na mimi leo nimeamka na mawazo ya kunyoa; naona kama hawa wapendwa wamenihamasisha na hili bichwa langu refu kama UDA
Daah kuchana nywele ni another underrated talent [emoji18][emoji18][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Kuchana asbh huwa zinakera sana
Mamiguu?😂😂😂😂Emu tuone 😜😜
Emu tulione kabla SA hajaja
Yaani nywele zinakula muda mwingi mno kuzichana,kuliko hata muda unaotumika kuoga.Daah kuchana nywele ni another underrated talent [emoji18][emoji18]
MweeeMweeh mbona kamesharudi sasa[emoji23][emoji23]
Kaone kazuri 😍
Unajua ume nichekesha sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimesemaNi kwamba umenenepa au nimeona tu vibaya [emoji3166][emoji3166]
Mie ndiyo maana napenda Kuvaa kofiaYaani nywele zinakula muda mwingi mno kuzichana,kuliko hata muda unaotumika kuoga.
M
Mweee
Kwahiyo unataka usemaje??
Nakusemelea[emoji1787]
Mimi hata sijui nilinyoaje jamaniUjumlishe na sura ya kinyaki ya mjomba; mbona kunyoa kunakuwa wito kidogo. Ngoja nipambane tu this time