Mimi nilikua naogopa kunyoa nilikua najua kakichwa kangu kadogo nitatisha. Sasa hivi nimenyoa na naenjoy nywele fupi balaa. Wig navaa ofisini tu nikirudi mtaani na nazurura na nywele fupi kama kaw
Mimi nilikua naogopa kunyoa nilikua najua kakichwa kangu kadogo nitatisha. Sasa hivi nimenyoa na naenjoy nywele fupi balaa. Wig navaa ofisini tu nikirudi mtaani na nazurura na nywele fupi kama kawaView attachment 2114826