Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Aisee balaaThat day acha tu, she didnt jump on the girl, she went straight to me... aisee nikawaza hapa nikimbie ama la, dah!!
Nothing hurts like betrayal
Hukukimbia
Aisee balaaThat day acha tu, she didnt jump on the girl, she went straight to me... aisee nikawaza hapa nikimbie ama la, dah!!
Namimi nimehisi sio yenyewe maana wadau walisifia shape hapaNishaiweka ya kwanza sasa
Mhh Asanteewaa.cute
Vyema Mkuu .Haka ka rangi huwa nakaelewa sana.
Ooh maneno tu hayo .Namimi nimehisi sio yenyewe maana wadau walisifia shape hapa
rangi imeelewekaMhh Asante
Hawa watu wazima ukiona maneno yamewatoka ujue kuna jamboOoh maneno tu hayo .
Ooh inatokea tuHawa watu wazima ukiona maneno yamewatoka ujue kuna jambo
tena jambo lenyewe sio dogoHawa watu wazima ukiona maneno yamewatoka ujue kuna jambo
hao wana wivu na wwAisee rafiki
Sijawahi ambiwa nina hiyo rangi
Ndo maana nipo wonderland hapa![]()
Kwanini tusimalize utata mkuu, namimi nielewe kama walikupanga au ni reality ya walichoona.Ooh inatokea tu
Picha ya kawaida
Hahahaha sidhani miehao wana wivu na ww
Ulisema moja tu rafikiKwanini tusimalize utata mkuu, namimi nielewe kama walikupanga au ni reality ya walichoona.
Kwa terms zako this time, am down
kumaliza utata weka ya piliUlisema moja tu rafiki
Picha ni ya kawaida mno .
Hahaha wewe unachocheakumaliza utata weka ya pili
Ofcoz nlisema mojaUlisema moja tu rafiki
Picha ni ya kawaida mno .
wivu unawasumbuaHahahaha sidhani mie
hahahahaHahaha wewe unachochea