Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,248
- 90,426
pamojaHaya Asante Mkuu
pamojaHaya Asante Mkuu
Usiku mwema rafiki .pamoja
Amen!Hakika mambo yatakuwa sawa .
ulale unono,bd nalindaUsiku mwema rafiki .
Vizuri sana kupeana break kidogo kwenye mahusiano maana inakupa muda kutatakari kujua shida iko wapi au ikawapa nafasi ya kuzidisha upendo maradufu .Amen!
Its normal for couples to break up and get back together, she still loves me...
Am moving on..
Asanteulale unono,bd nalinda
Hata nishinde siku nzima, picha zako huwa sizioni. Nikipotea tuu..Asante
Thanks!Vizuri sana kupeana break kidogo kwenye mahusiano maana inakupa muda kutatakari kujua shida iko wapi au ikawapa nafasi ya kuzidisha upendo maradufu .
Nawatakia kila la kheri katika safari yenu .
Pole aisee nimepost picha mara mbiliHata nishinde siku nzima, picha zako huwa sizioni. Nikipotea tuu..
Duu..
Itakua kuna mtu kanisagia kunguni
umepuliza sumu ya mbu?Asante
Pole sanaThanks!
Sijui ni break hii, i dont know lakini kiukweli alinifumania, daah, alinipiga na chupa kwenye paji la uso, we acha tu... najuta sana...
Mi mwenyewe sijielewi
we ndo kidume sasa.hy ndo sifa ya mwanaumeThanks!
Sijui ni break hii, i dont know lakini kiukweli alinifumania, daah, alinipiga na chupa kwenye paji la uso, we acha tu... najuta sana...
Mi mwenyewe sijielewi
Nimesoma comments, ofcoz zinaonesha umepost twice. What a bad luck.Pole aisee nimepost picha mara mbili
Ipo siku utabahatika .
Sumu ndo dawa ?umepuliza sumu ya mbu?
Sio bad luck inatokea tuNimesoma comments, ofcoz zinaonesha umepost twice. What a bad luck.
Na leo nimeshinda sana hapa, kunazia mchana, nlikua natoka kidogo narudi
sumu mbu afe.dawa kwani wanaumwa ?Sumu ndo dawa ?
tumianeni muda huuSio bad luck inatokea tu
Mimi nimekosa picha yako uliyopost mchana .
Hahahasumu mbu afe.dawa kwani wanaumwa ?
Basi tufanye kanamna flan. like a deal.Sio bad luck inatokea tu
Mimi nimekosa picha yako uliyopost mchana .
Ngoja tuone jibu laketumianeni muda huu