Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,404
Huyu atakuwa Msukuma huyu. Na si ajabu kuna na kaugali ka kusindikizia hapo pembeni

Huyu atakuwa Msukuma huyu. Na si ajabu kuna na kaugali ka kusindikizia hapo pembeni

Hivi ungeamini kama siku moja watakuwa wapinzani?Maisha yameenda kasi....bia yetu nakuaje mpinzani?
Nakuandaliaaaa

Zawadi zimekuwa nyingi mno.Babe itoshe tu kusema nimeongeza zawadi nyingine moyoni kwaajili ya dada mkuu.
Nauona huu moyo uki colapse soon kwa kulemewa

Upambe upambeShemeji nisije tu nikaugua kwa raha mnazonipa nyie watu. Nimeanza na kunenepa hapa

Ewaa
Mimi au pisi nyingine?Sio kaselfie; nishaipa pisi yako album nzima ikuletee.
Akupe na picha sasa.Embu do the needful mama Pep....
Vinginevyo dadako kusema amenenepa bila picha itakua ubatili tu na kujilisha upepo
A maisha ganaya gakawaida sana ukukaya na kanaka kashikolo kadororo sana. 😎😎Huyu atakuwa Msukuma huyu. Na si ajabu kuna na kaugali ka kusindikizia hapo pembeni![]()
Embu ziweke pale kwa Kasim mapema sanaAkupe na picha sasa.
Sio anakupamba tu na picha hakupi
Walikua washabiki wa watu...hili ndo tatizoHivi ungeamini kama siku moja watakuwa wapinzani?
😀😀😀😀😀😀Walikua washabiki wa watu...hili ndo tatizo
Wana mawazo ya ujima bado.
Wanaamini nchi ipo kama familia, kwamba inaweza kuendeshwa na mtu mmoja bila mfumo dhabiti.
Unfortunately yule mtu hayupo leo, tumerudi pale pale.
Angetengeneza 'mifumo' leo hii pengine tungekua na hali nzuri.
He created personalities, instead. Akina Sabawize, Albeto Bashi(ru?)
Tunafanya makosa sana tukiamini nchi inaweza kuendeshwa kama kafamilia kadogo.
Kwanini tunaamini tunaweza kuwa na mikataba na Mungu?
Hiyo sentensi ya mwisho si kweli bwana.Walikua washabiki wa watu...hili ndo tatizo
Wana mawazo ya ujima bado.
Wanaamini nchi ipo kama familia, kwamba inaweza kuendeshwa na mtu mmoja bila mfumo dhabiti.
Unfortunately yule mtu hayupo leo, tumerudi pale pale.
Angetengeneza 'mifumo' leo hii pengine tungekua na hali nzuri.
He created personalities, instead. Akina Sabawize, Albeto Bashi(ru?)
Tunafanya makosa sana tukiamini nchi inaweza kuendeshwa kama kafamilia kadogo.
Kwanini tunaamini tunaweza kuwa na mikataba na Mungu?
Nitaziweka hapahapa.Embu ziweke pale kwa Kasim mapema sana
Nimesema uongo ndugu yangu 🤣🤣🤣Hiyo sentensi ya mwisho si kweli bwana.
Bia yetu anakaa mitaa hiyo...muulizie