Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji818][emoji818][emoji818]
%200208-085725.jpg
 
Sio ninavyo, ninayoo..
Yani hiyo "vyo", stands for vidogo dogo sana.
Tuelekee Dodoma mkuu tukatest zali la mzungu Kashaija. Si ajabu mwenzetu ana Range Rover jipyaa na maji yake ya kunywa yanatoka Fiji islands. Yaani senene wake tu ni mpaka wakakaushiwe Italy. Kazi tunayo kamanda! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Humo mkuu hao ndo wazuri kwa sisi pangu pakavu, kwasababu hawatutarajii kuweza.
 
Daah sijui kwa nini hii meme imenichekesha sana daah
Ina ujumbe wa muhimu sana Mama Mchungaji. Wanawake wengi (hasa hawa wa kisasa wanaojiona wamesoma na wanajua kila kitu) wanafeli kwa kuanzisha ligi zisizo na maana na waume zao. Kila kitu ni mashindano mpaka wanaharibu kila kitu. Jirani yangu hapa kambwaga mchumba wake waliyekuwa chanda na pete kwa sababu hiyo.

Wewe kama mshauri likazanie hili kwenye nasaha zako. Mwanaume ni kuhani wa familia. Yeye ndiye kichwa na hilo halitabadilika leo wala kesho. Ni sawa kumchalenji constructively lakini abusive confrontations za kila siku na stubbornness zinaua upendo.

Ubarikiwe Mama Mchungaji [emoji1545]
 
Ahsante sana Mtumishi kwa hekima hizi; nitawakumbusha na hawa wenzangu tusije tukavunja ndoa zetu kwa mikono yetu wenyewe. Ubarikiwe sana[emoji120][emoji120]

Ina ujumbe wa muhimu sana Mama Mchungaji. Wanawake wengi (hasa hawa wa kisasa wanaojiona wamesoma na wanajua kila kitu) wanafeli kwa kuanzisha ligi zisizo na maana na waume zao. Kila kitu ni mashindano mpaka wanaharibu kila kitu. Jirani yangu hapa kambwaga mchumba wake waliyekuwa chanda na pete kwa sababu hiyo.

Wewe kama mshauri likazanie hili kwenye nasaha zako. Mwanaume ni kuhani wa familia. Yeye ndiye kichwa na hilo halitabadilika leo wala kesho. Ni sawa kumchalenji constructively lakini abusive confrontations za kila siku zinaua upendo.

Ubarikiwe Mama Mchungaji [emoji1545]
 
Back
Top Bottom