Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
umoja ni nguvuSafi mkuu, tuonganishe nguvu
umoja ni nguvuSafi mkuu, tuonganishe nguvu
Okay pisiUtaelewa tu.
Ni rahisi sana.
Itabidi niongeze juhudi ya kukusikilizisha kwenye "conference yetu" na maza.
hahahahaNdio nasikia hapa kumbe unaniweza wee mzee?? Mimi Sikuwezi mjeda
Ndio nilimuomba atume hata mguu tu au mkono amegoma!Naona umeanza kutoa ya moyoni![]()
Nyie wapemba, yakwenu nawaachia wenyeweNdio nilimuomba atume hata mguu tu au mkono amegoma!
dahNdio nilimuomba atume hata mguu tu au mkono amegoma!
Huyo nilishasemaga kitambo humu simuweziiiii!!! ...Nyie wapemba, yakwenu nawaachia wenyewe
Ndanindani ya wapi itanitishaHuyo kazaliwa ileje ndani ndani hukoo...
Yan akiongea hata wewe huelewii..
SawaHapana kweli, tuifanyie kazi ile ile tu kwa sasa.....at least for now.
Mtu muongo kuliko woote duniani!loohhh!!weyee!umenibania ofa yangu ya nyama atiiKwa lugha rahisi ni mpaka kielewekee..
Utazikuta kwenye recycle bin...![]()
Me simoo... NimeachaaHuyo nilishasemaga kitambo humu simuweziiiii!!! ...
Si unajua Jf mlishanishindaga kitambo!! Sina hamu nanyie kabisa🚶🚶🚶🚶🚶!
hahahahahaHuyo nilishasemaga kitambo humu simuweziiiii!!! ...
Weweee...achana na undali pale center paleNdanindani ya wapi itanitisha
Mimi pia wa undali![]()
Cheki na team mates wako akina Kawe Alumni, Bia Yetu na Crimea....hao ni ma alwatan wa streets zote zinazokaribiana na LumumbaSawa
Kazi kwangu sasa kuwatafuta wale jamaa
Safi sana sema ndio huridhikagi wewe! Ila kwa leo inatosha kabisa..Me simoo... Nimeachaa
Wewe ulizingua mwenyewe mkuu..Mtu muongo kuliko woote duniani!loohhh!!weyee!umenibania ofa yangu ya nyama atii
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wee!acha usanii bwana weee!unajikosha eehh!Wewe ulizingua mwenyewe mkuu..
Ulikua busy sana.




!!!Kumbuka vizuri mkuu..Wee!acha usanii bwana weee!unajikosha eehh!!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app