Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Safi hio rafiki furahi uongeze siku za kuishi rafikihahahaha.napenda kufurahi muda wote
Safi hio rafiki furahi uongeze siku za kuishi rafikihahahaha.napenda kufurahi muda wote
hy nyingine hata mm naiombaHiyo ilikua ya mkuu mjeda. Me nimeomba ile nyingine ilee
Hii pigo ya leo lazima niitwe kwenye kikao cha maadili🤣🤣🤣🤣
Hivi huachi uchizi tu??
Namba gani mtoto mzuri.....
Nasubiri feedback ya namba ujue.
hahahaha.pamoja sana rafiki mremboSafi hio rafiki furaha utanue
Safi mkuu, tuonganishe nguvuhy nyingine hata mm naiomba
Ndinkafu kinyaki hichoNdinkafu itolo..
Kama nimechanganya mezea tuu, chenyewe cha kujifunzia ngarenaro iki
Mengine unifundishage, hapo "ukweshela" ndo najibu nini mdogo angu?
Hiyo ilikua ya mkuu mjeda. Me nimeomba ile nyingine ilee
Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii pigo ya leo lazima niitwe kwenye kikao cha maadili
Namba gani mtoto mzuri
Sasa si unaona hapo wote tumeomba na ile nyingine. Tupe hata kwa sek 5 tuuWeee hiohio wote!
Ndinkafu kinyaki hicho
Sisi tunasema ndi mukafu.
Ukweshela??
Ungesema"iii ngweshela"
Hujamleta yule jamaa Kibona sijui Mbukwa nichuane naye lugha
Umejitahidi,Ndagha bhabha![]()





Umbwa mzee kama mimi anaweza kufundishwa mbinu mpya za kuwinda akaelewa kweli?Tobaaaa😂😂😂😂😂
Nikumbushe baadae nikufundishe japo kidogo hii lugha.
Mlete mletee😂😂😂😂
Nimefurahia darasa.
Yule ni Mbughi, ni wamoto huyoo, shauri yako.
Hapana kweli, tuifanyie kazi ile ile tu kwa sasa.....at least for now.Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
.....
Usiniambie hujaenda pengine kuona lens inakaaje.
Utaelewa tu.Umbwa mzee kama mimi anaweza kufundishwa mbinu mpya za kuwinda akaelewa kweli?
Naona umeanza kutoa ya moyoniIshatoka hio!! Muwe Mnaridhika basii huyo mtu chake ndio kabisaaaa apite kule hajatuma hata mkono tu !


Huyo kazaliwa ileje ndani ndani hukoo...Mlete mletee
Kama amezaliwa Dar es salaam basi jua tu hadi hapo nishamshinda.
Ndio nasikia hapa kumbe unaniweza wee mzee?? Mimi Sikuwezi mjedahahaha mimi ligi ndo naeza?