Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimekumiss
 
Thi thiii ni thimbaaa bwanaaa.. Kasie
View attachment 2108621

Daah kuna uhujumu mahala, sijaiona hii notification yako aiseeh.

Ilaaa, sijafanikiwa kuiona.... πŸ˜₯πŸ˜” πŸ˜‰πŸ˜œ ehehehe.

Kumbe wanadamu tunacomplicate maisha.... dakika moja tuu mtu anagalagala aahahahahaa.

Itakuwa ya moto balaa aahahahahhaaa πŸƒβ€β™€οΈ.
 
Niliwaambia kuwa eti wewe ni tapeli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bidanamu alie waloga sijui nani tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.. wanapakia na vumbi ili mtu amchoshe mtu..

Nao wanasikia raha.. maana namuona baba simba hadi ana mng'ata mama simba kwa utamu.. na sura ikiwa imetabasamuuu πŸ˜„πŸ˜„
 
A-cum? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706][emoji706]
Unachokitafuta kwa huyu mjukuu wangu kuna siku utakipata [emoji51][emoji51][emoji51]
A cum = Aje
Au ulimaanisha nitumie come
Umeelewa bana!! Endelea kuwabana wajukuu zako, ila hata kama sio mimi ila ipo siku tu mabaharia watapita nao kimasihara!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Niliwaambia kuwa eti wewe ni tapeli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hish!! [emoji2305][emoji2305][emoji2305]
Na wameamini?
Iko siku utawaambia kuwa walipiga teke kopo la dhahabu!
Wewe ni miongoni mwa mababu wanaoandika kwenye mageti yao "Mbwa mkali" wajukuu zenu wakizeekea nyumbani mnabadilisha na kuandika "Tunauza barafu" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…