I can imagine[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani napendaga vindevu balaa!!!Kazi ya wifi yako kuvichezea hadi nisinzie[emoji23][emoji23]
Ulishasema hili mara kadhaa huko juu..Wee mke wa mtu Mimi!!! Usifanye nkaswalikwa maswali magumu na wenye Mali buree![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]maana wanajua I'd yangu ya jf!
Umechagua wapi?Nasubiri ofa yangi tuu!!!![emoji2]
Muonee!kumbe mlikua machoo eehh!;loohg[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2] !ngoja nilale!
Ivi mama mchungaji ndo nini lakini..[emoji3][emoji3][emoji3]
Unakaa unatuvizia unasubiri tuteleze utukemee mapepo, kumbe muda wote upo tu hapa.
[emoji3][emoji3][emoji3]Eeh nawachunga kondoo wangu wakati wote.
Usisahau kuselfika na mchomeko basi leo
[emoji3][emoji3][emoji3]
Yani ukianza wewe mimi naweka mpaka sura yangu humu Mama Pasta.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasemaa, najua huwezi kuvunja mwiko wako.Sema suuuu
Mwiko gani tena. Don't dare me ooh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasemaa, najua huwezi kuvunja mwiko wako.
Sssuuuuuuu....!
Hahahah!binamu mpk weee jamani!si tulikubaliana sisi tuna sura za kiwife materials jamani!!we vitu vizuri vitoke wapiiiRoho wa Bwana aliniamsha kutoka usingizini nije nione vitu vizuri
Nilivo mshamba sasa Siijui Dom hata...na sehemu za bata Mimi ni kazini nyumbani kulala!na hivi sinywii!!![emoji2][emoji2][emoji2]!!!we kaninunulie nyama mnadani tu inatosha...Umechagua wapi?
Nakuelewa rafiki!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]Ulishasema hili mara kadhaa huko juu..
Hizi story za kufurahisha genge tuu..
Nimeisoma hiyo "Don't dare me ooh" kwa sauti ya wamama wakinigeria.Mwiko gani tena. Don't dare me ooh
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]hakuna loloteee Wazee tu sisiHuo usiku mdogo wangu unatunyima wengine uhondo bwana!!
Mnadani ni jumamosi mpaka jumamosi. Leo utakuta mabanda tupu.Nilivo mshamba sasa Siijui Dom hata...na sehemu za bata Mimi ni kazini nyumbani kulala!na hivi sinywii!!![emoji2][emoji2][emoji2]!!!we kaninunulie nyama mnadani tu inatosha...
Hahahah!binamu mpk weee jamani!si tulikubaliana sisi tuna sura za kiwife materials jamani!!we vitu vizuri vitoke wapiii
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuelewa rafiki!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna thread ya kimasiharaa hukoo
I never did what?Nimeisoma hiyo "Don't dare me ooh" kwa sauti ya wamama wakinigeria.
I know you won't, you never did.
Hujawah kuselfikaI never did what?
[emoji3][emoji3][emoji3]Nakuelewa rafiki!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna thread ya kimasiharaa hukoo