Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
wananione tu, kila mdada humu ananiita mie dogo wake.. jamani hamna fair 😓😓Ushakatwa ngebe tayari... Sio poa
wananione tu, kila mdada humu ananiita mie dogo wake.. jamani hamna fair 😓😓Ushakatwa ngebe tayari... Sio poa
💃tutembee vifua mbele[emoji16][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ahsante@St.Anne tumepata muokozi hukuuuu!!!English figures siyee
Nimeshaagiza Saint AnneEwaaa
Agiza kvant mkuu
Nakuja kulipa[emoji23]Nimeshaagiza Saint Anne
Ndio yule wifi ananizuilia haki zangu kwa kaka?Saa ngapi hiyo nisipitwe mimi
Wapi dada ake?
Karibu nipo hapa 255Nakuja kulipa[emoji23]
Iachie mkuuNgoja niwape moja ya nusu nusu View attachment 2099986
Ndio wapi mkuu?Karibu nipo hapa 255
Mikocheni/kawe darajaniNdio wapi mkuu?
Mbali mno[emoji2356]Mikocheni/kawe darajani
[emoji3][emoji3][emoji3] unataka kumuona jirani.. mbona nilisha muweka sema haupo makini.. badae badae mzuka ukinipanda natumiamo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbali wewe upo wapi kwani, weekend kama hivi bado mapemaaaMbali mno[emoji2356]
Ndio yule wifi ananizuilia haki zangu kwa kaka?
nimesema wapi 😀😀😀.. wewe wasemaAu yule wa ofisini?
Ngoja tumuone[emoji23]Huyohuyo
Doh[emoji23]Mbali wewe upo wapi kwani, weekend kama hivi bado mapemaaa
Kumbe siye? Ngoja tumsubirinimesema wapi [emoji3][emoji3][emoji3].. wewe wasema
Mood ikija napost matukio isipokuja basii tena 😀😀😀😀Kumbe siye? Ngoja tumsubiri