Ndio.. sasa ile unatafakari uanze na yupi huelewi mimi najitosa kupambana kujiokoa mwenyewe automatic Chakorii atakua anakuangalia wewe tu na hatari hii hapa so kama sterling automatic unamrukia chakorii mnaviringita weee unajikuta yupo kifuani kwako huko sijui porini sijui wapi ...can you imagine!!!!