Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,123
- 6,207
Ndomaana nataka mkae wote hapa. Me siwashindwi unajua..[emoji3][emoji3]Wee unaenda Wapi sasa! Mimi nakuunganishia unazingua tena!!! Tulia hapohapo kijana nishamset anakuja
Kwa mwandiko wako wakati mwingine jinsi ulivyo ππinasadifu Kwa kweliHii ilikuwa ni weakness yangu kubwa sana miaka ileee nikiwa bado kijana (mapenzi)[emoji3]
Tumekumiss pia Reymage mpenziππMmewamiss balaa!wazima nyote@mahondaw mshepu@heaven sent mnyamwezi@St.Anna kaslim@Lizzy mzungu@Chakoriii@Karma mnyaki@Binamu simara@Syb@cocastic@relief na wengineo weengii humu[emoji7][emoji8][emoji848][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Mimi unanihusishaje hapo sasa??? Cocastic ndie anaekuhitaji bana!Ndomaana nataka mkae wote hapa. Me siwashindwi unajua..[emoji3][emoji3]
Inaelekea anapenda vitu vizitoπ€Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maana[emoji1][emoji1][emoji1]siye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichii
Kwanini ucheke Kwa sauti sasaπππ[emoji38][emoji38]nimecheka kwa sauti
Poa kipenzi mzima!!mambo
Teenaa! Hapo unazingua sasa!πΆπΆπΆπΆπΆNa mimi nawahitaji nyote
Nimefurahi[emoji2]Kwanini ucheke Kwa sauti sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
πππNdiyooooooh kipendhiiii, mtu na umbo lako mjini, ringa bhana bahati ya watu wachache hiyoooo [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hebu hukoooooβ¦anafaa kuliwa bila mboga eeh
Labda utoe pili-pili kidogo π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaaah yaan ukimtazama tyuuh unashiba kabisaa.
Mbona bongaaa tena.kutazama vipi? mie nauliza anafaa kuliwa bila bongaaa πππ
Ni furaha yangu kuona umefurahiNimefurahi[emoji2]
Hivi ulimalizia ile mada yakoππππ
Tena wewe ndio saana maana umeniita kijana mara mbili [emoji3][emoji3].Teenaa! Hapo unazingua sasa![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
mada gani tena ππHivi ulimalizia ile mada yako
Qutee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzuie huyo asikimbie