donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
😂😂 Mdogo wangu usinichekeshe asubuhi yote hii..ungejua Nina umbo Kama kombe la dunia ..Basi tu..Wee, yeye na Yna2 mna shapes na umbo hatareeeh, watu wenye misambwanda yenuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiiih
[emoji1][emoji12][emoji854][emoji854][emoji854]
Vema sanaSanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50
[emoji120][emoji120]ahsante mkuu
Hii ilikuwa ni weakness yangu kubwa sana miaka ileee nikiwa bado kijana (mapenzi)[emoji3]Comment zako hazikaagi mbali na hisia za mapenzi mbalizi[emoji1534][emoji1534][emoji1534]
Hakusema mpera, alisema ukapande .....mti....[emoji2]Jamani ona na wewe eti . kweli Mtu mzima wa kupanda juu ya mpera kweli??
Yameishakook siwezi kubisha
Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maana[emoji1][emoji1][emoji1]siye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichiiGuu guu ng'wanawane. Bagosha! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji38][emoji38]nimecheka kwa sautiMimi nitaweka kijisambwanda changu chap
nini kikufanye uanze kuniogopa?Kwani si tuna ambiwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai ila we mtu nimeaza kukuogopa ghafla
Niringe. Sina mia mbovu hapa[emoji19][emoji19]Boss lady
Mimi ndo sijamissiwa mkwe?Mmewamiss balaa!wazima nyote@mahondaw mshepu@heaven sent mnyamwezi@St.Anna kaslim@Lizzy mzungu@Chakoriii@Karma mnyaki@Binamu simara@Syb@cocastic@relief na wengineo weengii humu[emoji7][emoji8][emoji848][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Mngh!Niringe. Sina mia mbovu hapa[emoji19][emoji19]