Dah hicho kifua jamani mbona kipo mukide kabisa๐๐๐๐
Hivi Boss Lady ulishaweka picha ya lile gauni lako la kitenge? Lilitoka vizuri?Mjeda unazunguaa!
hahahahahaYes mtu mwenye chake
Mimi nakuahidi naweka sura yangu bila imoj๐ฌhahahahaha
kivipi mremboMjeda unazunguaa!
hahahaha sio kweli.huwezi rafiki.unasema tuMimi nakuahidi naweka sura yangu bila imoj๐ฌ
Offer zote hizo wajitia umekaza..kivipi mrembo
Mpendwa hii nguo kuna mahali niliona leo sijui zimefanana niliipenda sema kifuani ilikuwa imebana kidogo nimeona picha yako umependezaโค๏ธHayahayaaaa. mtu chake anza na hizooo ... Hio trela View attachment 2097884
Namimi nimesema ntaweka fulll hakuna ku crop wala nenee...Mimi nakuahidi naweka sura yangu bila imoj๐ฌ
hahahaha.halafu nimekumbuka we unayo.hebu weka kwa niaba yanguHuyo masta hatoweka hasilani
Ndio ndio best๐ฅฐNamimi nimesema ntaweka fulll hakuna ku crop wala nenee...
Hivi Boss Lady ulishaweka picha ya lile gauni lako la kitenge? Lilitoka vizuri?
ndo ujue cna picha rafiki mremboOffer zote hizo wajitia umekaza..
Ashindwe yeye tu..na chakorii amesema atatupia ful msambwadaNdio ndio best๐ฅฐ
ya muda huu imenipitaNishaweka nyingi sana msukuma...
Kwani si tuna ambiwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai ila we mtu nimeaza kukuogopa ghaflando ujue cna picha rafiki mrembo
hahahaha.patakua hapotoshi.naepusha maafaAshindwe yeye tu..na chakorii amesema atatupia ful msambwada
Akaaaaah shos usifanye hivyo bhana lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]! Najaribu tu niexperience the difference!
hahahaha.patakua hapotoshi.naepusha maafa