Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
unaelekea kutekwakwamba niko km ulivyosema?
Inawezekana sio vyote lakni unavyo vilivyoorodheshwakwamba niko km ulivyosema?
Hebu hukooooπ€£π€£tulie wewe ππ nakuachaje sasa
Wimbo gani kama sijawasha motrohapana kipenzi. Nasikiliza ule wimbo nimemsahau ule
Muache mwenzako atekwe taratibuunaelekea kutekwa
acha aniteke.nitakua salamaunaelekea kutekwa
umemuacha dada yangu mahondaw eeehacha aniteke.nitakua salama
hahahahaumemuacha dada yangu mahondaw eeeh
Jana nilikuwa msibani somewhere; walipoimba, wacha niwakumbuke na dada yakoWe worship your Holy name
Hakuna jina lingine, ila jina lako Yesu eeh
Jina lako linainua, jina lako linatakasa
Jina lako linauisha Yesu
Sina, eeh
(Sina jina lingine) ila jina lako Yesu
(Ila jina lako Yesu) ooh
Jina lenye mamlaka na nguvu zote
(Jina lenye nguvu) eeh, ni Yesu ni Yesu
tulikubaliana vp ? NikumbusheHahahaaa... Mbona tulishakubaliana ile mchana injinia inaturudisha nyuma ujue! Huyo simuweziiiii ππ
Umetoa boko.. acha mie nimention vyako hapa ππInawezekana sio vyote lakni unavyo vilivyoorodheshwa
Haaaa wee mjeda ushasahau mara hii???tulikubaliana vp ? Nikumbushe
Jana ilikuwa siku nzuri sana kwangu na leo ikawa extra deep.. nzuri sana.. πππ kuna wimbo wa Rehema Simfukwe jana na leo na sasa ukawa una make sense sana kwangu...Jana nilikuwa msibani somewhere; walipoimba, wacha niwakumbuke na dada yako
Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitangβara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.
Kama kiti chake vivyo,
Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo,
Kamwe, havirudi.
hahahaha,'kajamaa' 'kapole' hahaha, usijali rafikiIla kwenye kutoa hizo qualities kamanda alivyotumia ile ka...ka... ka..ka nimeona kama sio poa... Samawani lakini ni mtazamo wanguu..sema mutu yake mtu poa sanaβοΈβοΈβοΈβοΈ!!
mambo mengi rafikiHaaaa wee mjeda ushasahau mara hii???
Kuhusu wewe ππ, una beza mambo yanayo onekana complex, hupendi kujishulisha na issue complex, una ka uvivu flani πππ, una huruma sana japo sio mwepesi kutoa chozi πππ. Hupendi masumbufu.. upo selective katika watu.. huna kiburi.. chakula.. naendelea kutililika tu πππInawezekana sio vyote lakni unavyo vilivyoorodheshwa