Nimefurahishwa na namna unaendana na members wa humu jf. Kiuhalisia kama ingetokea mahusiano baina yako wewe
mtu chake na
Chakorii yangenoga sana kwasababu kwa uzoefu wangu nilionao mwanaume descent akihusiana na mwanamke mchangamfu halafu design flani kama kauzi huwa penzi linakuwa tamu sana