Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,988
sinyamazi mpaka uje tulaleWe lia tu mwisho utanyamaza
Maisha ni Mystery kuna vitu hufichwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu. Ndio maana Mungu kupitia vinywa watumishi wake anasema ametupaKutokua mwoga ni kitu kizuri.
Lakini pia kuchukua measures ni vizuri even more.
Kuanza upya sio ujinga, ni jambo jema....lakini kama kunaepukika ni bora zaidi.
AmenMuwe na usiku mwema wapendwa..View attachment 2096696
Leo silali na wewesinyamazi mpaka uje tulale
walala na nani atiiiiπ€£Leo silali na wewe
AMENMuwe na usiku mwema wapendwa..View attachment 2096696
Chakorii Heaven Sent Saint Anne Tinsley Khantwe kipara ngoso Pep mahondaw
Usiku mwema wakubwa zangu..
View attachment 2096695
Ubarikiwe sana kipara bwasheeChakorii Heaven Sent Saint Anne Tinsley Khantwe kipara ngoso Pep mahondaw
Usiku mwema wakubwa zangu πππ..
View attachment 2096695
Ubarikiwe sana kipara mdogoMaisha ni Mystery kuna vitu hufichwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu. Ndio maana Mungu kupitia vinywa watumishi wake anasema ametupa
...............
For God did not give us a spirit of timidity or cowardice or fear, but [He has given us a spirit] of power and of love and of sound judgment and personal discipline [abilities that result in a calm, well-balanced mind and self-control].
Hofu kwangu hainaga sehemu mie hata sasa hivi nikafungwe miaka kadhaa najua nikotoka natoboa tu.. sinaga woga wa kuanza sifuri au aibu πππππππ mbele yetu kama kuna ukuta hatuoni na dawa yake ni kuishi huo mstari
Etiiiiiii??????naiomba na account ya bank naiongezea nyingine.. alafu naanza zero.. baada ya mda naishangaza tena inajileta naitia mimba mapacha, ikizaaa mimba tenaaa hiyo ndio inakuwa adhabu yakenakuwa natia tu mimbaaa.. nashukuru Mungu sijawai kuwa na woga wa kuanza sifuri maisha, sijawa na woga wa kuchekwa ku fail maisha, sijawai kuwa na woga wakupungukiwa nipo radhi kuisha maisha yoyote for a season
Siri yanguwalala na nani atiiii
Kwakweli mfanye hima wapendwaMimi na HS, na pisi na Kipara 9.8 tutaingia magotini juu ya hili.
Hili halina ubishi...maana atakua amepata pisi, mwana, mshikaji, na wakati huo huo mke.
Naiiba hii ukiiona nyumbani kwangu usipige kelele za mwiziAMEN
njoo pm mke wanguuuSiri yangu
Yap hakuna kuchokana.yaah! mkikogambana kama wapenzi, mnashift washkaji, kidogo mnakuwa wana.. kidogo mke yani nyumna mda wote inakuwa ya motooo.. sema utoto unaniponza nimekosa π¬π¬π¬
Aah wapi sikujinjoo pm mke wanguuu
ImekuaKwakweli mfanye hima wapendwa
Naiiba hii ukiiona nyumbani kwangu usipige kelele za mwizi
Aah wapi sikuji
Mbona umesound kama sio mtoto..jamaniππππ Haitakaa itokee hiii.. hao wazee wa zamani ndio wamekuwa wanaingia mkenge huo.. alafu mie kumuachia mwanamke kila kitu sio issue.. naweza nikatoka hata uchi wa nyama.. baada ya mwezi akashangaa nime double..
................
Acha nikupe siri ya kuto babaishwa na mali au angulo
.................
Fanya chini juu katika maisha yako uwe na network ambayo ipo very strong na yenye uadilifu wa hali juu... strength katika maisha yako isijengwe na pesa au vitu ulivyo navyoo.. ukijenga strength kupitia vitu hukawii kuisha ukikutana na amajanga kama hayo
Wowkatika maisha yangu nilisha jiapiza maisha yangu kutokuwa driven na mali, pesa au mtu.. mie hata leo ukinianzishai maisha ya kwenda kulala k. koo poa tu sioni noma but najua baada ya siku kadhaaa nitalaa vizuri labda unikate kichwa au uondoe akili na mdomo ndio utaniweza