Selfika na JF: Snap it. Show it

YOSHUA 24:15

Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.

HILO NDILO NENO LA BWANA
 
Njoo tupige story, Niko bored
 
Halafu mtu asiyejielewa anakwambia "acha kula nyama, wanyama nao Wana haki ya kuishi bla bla bla bla kula majani na matunda tu" daaah!
Ni udwanz tu. Eti tusile red meat, tuzingatie white meat blah blah blah.... Hivi mababu na mabibi walizingatia haya maswala kweli?
Tena this weekend niende zangu waswanu nikale nyama ya nyati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…