Umefunga Kilinge umegeukia Neno nos stop. Muda si muda utakuwa na kituo cha Neno wewe na au maarifa ya utambuzi kama kile cha Marehemu Munga Tehenan. Ukikifungua tu tuambizane.
Halafu alikuwa mwandishi mzuri sana. Riwaya yake ya Rais wa Kesho ni mojawapo ya riwaya pevu na bora kabisa katika fasihi ya Kiswahili. Aendelee kupumzika salama!