Jamani si nimesema ni "casual sunday", that was meant for tomorrow. Ni vile nimeiandaa mapema leo as nitachelewa kurudi leo; so kesho nikiamka tu natupia huyo church, then baadaye ndicho picha.
Jamani si nimesema ni "casual sunday", that was meant for tomorrow. Ni vile nimeiandaa mapema leo as nitachelewa kurudi leo; so kesho nikiamka tu natupia huyo church, then baadaye ndicho picha.
Kila siku nasema HS pumzisha haka kamlonjo na heels, kauzee kameanza taratibu utaumwa miguu. Mweeh nikiona tu mtu kavaa heels, namuona kayapatia maisha kuliko mimi; naenda na mimi kujikongoja
Mama mchungaji bhana..ππ
Hakuna kuwaachia walikuwa na maisha Maduro..ni mwendo wa kupambana hivyo hivyo tuvutike Kwa juu hata kama ni Choka mbaya