Selfika na JF: Snap it. Show it

ni kweli kabisa
Most of the time, hatutaki kuutoa mwili dhabihu, ili roho zetu zichukue control ya miilo yetuu.. tunapendaaa mambo ya flesh.. but neema ya Mungu, anatujua before ya kuumbwa kwetu.. but tushapewa uwezo wa shetani kuwa chini ya nyayo zetuu.. maana alipo Kristo nawe ndipo ulipo.. ☺️☺️☺️
 
Ila ukifikia hatua hiyo huwa ni raha sana
 
Ila ukifikia hatua hiyo huwa ni raha sana
ni rahisi sana, the Bible say..

nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu., Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.

Ukitii neno la Mungu na kuliishi, kiwango cha nuru ku reflect kinakuwa kikubwa na ndivyo unavyozidi kuona uwezo wako mkubwa dhidi ya shetani.. na kuyaona mamitego yake yote.. kwasababu nuru ya uangavu kwako inakuwa kubwa.. you need maarifa sana ya neno la Mungu na kujua ukweli ya hayo maarifa kwako shetani anakuwa kama toi
 
Amen mtumishi wa Mungu..
 
Amen mtumishi wa Mungu..
Silaha kubwa ya shetani ni mbinu but he is powerless kuanzia ile siku Bwana amesema imekweisha pale calvary.. na mbinu yake anayotumia ni taarifa ( anacheza na taarifa unayoojua kwa kuipotosha) kama huna kweli ndani yako shetani lazima alale mbele na wewe.. Utaona Eva alichengeshwa by information, na alitaka tumia mbinu hiy hiyo hiyo kwa Yesu kipindi yupo nyikani, ila Yesu alikuwa na kweli yote na ndio bwana kija shetani akalamba loloooo 😁😁
 
Ndio kazi yake ye si ndio baba wa uongo...ati mmeambiwa msile matunda ya miti yote ya bustani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…