Hamna ugomvi leo au nikuanzishie tu uzi tujifanye tunatukanana??
Sema sasa hapo na mimi nitakula ban au wewe cha kufanya muibukie Melo pm muambie akuzawadie ban moja takatifu tena huko itakuwa vizuri zaidi maana utajichangulia na muda kabisa unaotaka wewe wa kukaa kifungoni!!