Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona zuri tu jamani. Ooh nahisi nimeshaelewa lastic uliyokuwa unaitaka.

Kama hujaridhika nayo; nenda kaongee na fundi mwingine uone atakwambiaje.
 
Mikono mingi niliyoona ya hiyo lastic ndefu ni either mkono mzima uwe hivyo; au juu litangulie puto kubwa afu mwishoni huku chini ndiyo iunganishwe hiyo lastic. Kwa ule mkono wako, kumalizia na hiyo lastic ndefu; waulize wataalamu mafundi
Ndio nilitaka hivo sema nilitaka puto lisiwe kubwa sana.. alichoshona anajua mwenyewe!
 
Hivi hapa kufumua kurekebisha hio lastiki iwe hio ndefu itawezekana/ Itakuja kweli??
Mikono mingi niliyoona ya hiyo lastic ndefu ni either mkono mzima uwe hivyo; au juu litangulie puto kubwa afu mwishoni huku chini ndiyo iunganishwe hiyo lastic. Kwa ule mkono wako, kumalizia na hiyo lastic ndefu; waulize wataalamu mafundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…