Faller wewe...
Hiyo Baby umekula, it's lunch time kwenye mapenzi ni mambo ya msingi Babu..Ni huo umri unakufanya uone kero? Binafsi mimi napenda.. ni sehemu ya kujali pia..
Yote tisa... unaweza kujikuta kila saa unapigiwa video call
Na wana ule uandishi wao wa text sasa, Na huo umri ki ukweli hutaweza