Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila hii thread inaonyesha kiasi gani watu wanapiga ulabu na starehe, yaani ni ulabu tu hakuna starehe nyingine. Nilitegemea tungejitokeza kuonyesha 6x6 na warembo wetu ila hola.
Wewe yako iko wapi?
 
Hahahah. Mnachanga sawa wewe unakunywa soda mbili (1000) hao wanakunywa bia 4 (15000+).
Ulifanya vizuri sana.
Yaani acha, halafu sasa wanywa bia ndio huwa walalamikaji wakati sie wanywa maji hata hatuna taabu[emoji134][emoji134]
 
Ukijiandikisha kupiga kura ulale huko huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani serikali itutishe na nyumbani napo vitisho[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kuna rafiki yangu ndio zilikuwa zake, anarudi alfajiri ila kutwa nzima atashinda amelala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hufai wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mimi ninywe maji nyie bia6 unaona ni haki hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…