βΊοΈβΊοΈβΊοΈ inawezekana kabisaa mama pastor na sio gharama, inahitaji tu chemistry.. leo acha nikaibe mtoto wa. mtu Chakorii tutoke kama hao.. tunaanza shoping pale woolworths.. tunatako hapo shwaaa haooo
inawezekana kabisaa mama pastor na sio gharama, inahitaji tu chemistry.. leo acha nikaibe mtoto wa. mtu Chakorii tutoke kama hao.. tunaanza shoping pale woolworths.. tunatako hapo shwaaa haooo
Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s