Hii ni ramli chonganishi binti [emoji1787][emoji1787]Wewe ni katibu mkemia wa kuchanganya vileo
Bwana bwana nimeshare kwenye simu nyingine ambayo ina bando mi nimewasha wi-fi ndo nikafanya kila kitu mnachoona hapoπ kingine nina jf ya apk na hii ya freebacics sasa hii huwezi kuapload sijui kama nimekoseamkuu bundle limekuishiaa... naona ka alama ka network kameweka ? ππ
Hapana mkuu haiwezi nimeshare wi-fi ndo nikafanya harakati zote hizoπNilitaka kuuliza pia kama freebasics inawezesha ku upload na picha
Hii ni hatari, Hivi kushikwa hivyo haku-kuletei hamu ya tendo ? Samahan kama nitakukwaza kwa swali.
Wala hujanikwaza usijali....binafsi sijawah hisi lolote lile na huwa napaka rangi kwa hawa wakaka muda sasa bila shida yoyote.Hii ni hatari, Hivi kushikwa hivyo haku-kuletei hamu ya tendo ? Samahan kama nitakukwaza kwa swali.
Ni kweli najua π. 9.8ms squared nipigie tu sina mpenzi wa kunifanya nisipokee simu yakoβΊοΈβΊοΈ
Tendo ni hisia mkuuHii ni hatari, Hivi kushikwa hivyo haku-kuletei hamu ya tendo ? Samahan kama nitakukwaza kwa swali.
Sawa sawa. Nimepata nafasi ya kuuliza hapa sababu naonaga tu na kubaki na maswali.Wala hujanikwaza usijali....binafsi sijawah hisi lolote lile na huwa napaka rangi kwa hawa wakaka muda sasa bila shida yoyote.
MiaSawa sawa. Nimepata nafasi ya kuuliza hapa sababu naonaga tu na kubaki na maswali.
ππππ ππ Missed call 20Ni kweli najua π. 9.8ms squared nipigie tu sina mpenzi wa kunifanya nisipokee simu yakoβΊοΈβΊοΈ
ASANTEWala hujanikwaza usijali....binafsi sijawah hisi lolote lile na huwa napaka rangi kwa hawa wakaka muda sasa bila shida yoyote.