Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hiyo dada shemeji wewe tusker baridi huonji kabisa.

Sasa naelewa kwanini watu wanaomba outing na nyinyi.
 
Kwa hiyo dada shemeji wewe tusker baridi huonji kabisa.

Sasa naelewa kwanini watu wanaomba outing na nyinyi.
Mie ukinitoa outing ni maji yangu ya kilimanjaro na makange ya kuku na ndizi choma 2 au kaugali umemaliza kabisaaa.
 
Umu walevi wamejaaa sana

75%. Ya pichaa zina vilevi pembeni so inawezekana nyingi ni U. I. A
 
Ila hii thread inaonyesha kiasi gani watu wanapiga ulabu na starehe, yaani ni ulabu tu hakuna starehe nyingine. Nilitegemea tungejitokeza kuonyesha 6x6 na warembo wetu ila hola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…